BINADAMU ATAPIMWA KWA MATENDO HAYA ....

Ni jambo rahisi tu, binadamu huingia katika kumbukumbu kutokana na matendo yake mazuri au mabaya, kufanikiwa au kufeli katika maisha, ukarimu au uchoyo.
Kila asemwaye kwa uzuri au ubaya analo afanyalo kuhusiana na hilo na atasifiwa au kukumbukwa kwa hilo.
Kadi ya kumbukumbu itapakia na kupakua matendo yako na kuyahifadhi.

Post a Comment

0 Comments